Kiingereza cha Liberia

Kiingereza ya Liberia ni lugha ya pijini nchini Liberia. Ingawa idadi ya watu ambao wamejifunza Kiingereza ya Liberia kama lugha yao ya kwanza haijulikani, mwaka wa 1984 idadi ya watumiaji wa Kiingereza ya Liberia kama lugha ya biashara imehesabiwa kuwa watu milioni moja na nusu.


© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search